Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar. Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa...
0 Reactions
17 Replies
177 Views
Challenge kwenu wadau
0 Reactions
10 Replies
119 Views
Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini. Islamic...
4 Reactions
63 Replies
997 Views
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu. Eg. KQ (Dar-CPT-Dar)...
4 Reactions
55 Replies
1K Views
First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni): Ayoub/Abeli Israel Zimbwe/xx Kazi/xx Che Malone Sarr/Hamisi Chasambi/Balua Ngoma/Mzamiru xx/Kanoute/Freddy...
1 Reactions
9 Replies
144 Views
Siasa ni mchezo fulani hivi na mara nyingi safu za Uongozi wa Upinzani hupangwa na CCM Ndio sababu Zitto Kabwe alipotaka kwenda CCM akawe Waziri Rais wa Wakati Ule alimwamuru asubiri kwanza huko...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Wakuu Tanesco ni Shida sana kuna muda leo niliwasha tv mapema saa mida ya saa nne saa 3 ivi kiwaweka upande wa redio wakati nikiwa najiandaa kutoka kwenda miangaikoni gafla umeme ukakatika kama...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu...
9 Reactions
77 Replies
1K Views
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
2 Reactions
4 Replies
88 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,855
Posts
49,557,421
Members
667,685
Latest member
Shagihelo
Back
Top Bottom