Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika.
Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
Taarifa kamili kutoka ndani ya makao makuu ya chama zinasema kuwa chama hiko kwasasa hakiwezi kuwa pamoja either mmoja kati ya Mbowe au Lissu aondoke ndani ya chama hicho.
Mzozo mkali umeibuka...
Wakuu,ingekua vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko..ni tahadhari gani umechukua?
Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine.
Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks.
Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili...
Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu
SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA
Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa...
Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake kwa sababu ni binadamu. Lakini kwa jinsi alivyoipigania Tanganyika tokea akiwa bungeni hata sasa akiwa nje ya Bunge, Historia haitamsahau.
Watanganyika wa leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.