Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Pambalu anagugumia kwa maumivu baada ya kunyang'wa gari la idara yake bila maelezo zaidi ya kuambiwa ni amari kutoka kwa mwenyekiti. Hii inatokea wakati ametanganza nia...
4 Reactions
19 Replies
502 Views
Jimbo linahitaji Kiongozi mwenye maono. Nawe Ni mtu sahihi
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu wanajukwaa, natumaini mnaendelea vizuri katika harakati za hapa na pale za kujikwamua kiuchumi. Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja husika: Siku za nyuma hivi karibuni Tume Huru...
8 Reactions
14 Replies
942 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba...
0 Reactions
8 Replies
58 Views
Raia 12 wa Malawi ni miongoni mwa raia 40 wa Kigeni waliokamatwa baada ya kuacha kazi kwenye mashamba ya Arava na Lion kutokana na kulipwa Ujira mdogo na kwenda kutafuta kazi za zenye malipo bora...
3 Reactions
30 Replies
296 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze Mke anavutia sna napatwa na wasi...
18 Reactions
67 Replies
430 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
38 Reactions
261 Replies
4K Views
1. Uliokuwa moto wa nyika Marekani; sasa unawaka ndani ya Canada! 2. Kwamba kinachoendelea ni udhwalimu? Kwani hata inahitaji lipii kuliona au kulitambua hilo? 3. Tangu lini jumuiya ya...
0 Reactions
6 Replies
287 Views
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake...
1 Reactions
9 Replies
172 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,773
Posts
49,554,792
Members
667,646
Latest member
Dr mleuke
Back
Top Bottom