Wana JF, walaam.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu...
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach.
Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao...
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Kisa hiki hapa kachukua picha miradi mikubwa ya mabwawa ya umeme Ehiopia na Lesotho anadanganya kwenye posti zake kuwa ni mradi wa Stiegers Gorge Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.