Kuna namna hainipendezi kwenye huu muungano
Yani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwez hata kuajiriwa na serikali ya zanzibar wala kwenda kujenga Zenji...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup.
Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
Nitumie mfano harisi kwenye maisha yangu mwenyewe,
Hi ikupe mwanga wewe kuendelea kupigana kwenye hicho unachokifanya.
Tangia mdogo nlipenda sana mambo ya ufundi,hasa umeme na electonics...
Kama kichwa cha habar kisemavyo sina maelezo mengi.
Je wana jf waweza jiuliza kwanin unatumia hilo jina hapa jf?
Na watu wakilisoma labda watapata ushawishi gani akilini mwao?
Sent using Jamii...
Wakuu habari za jioni?
Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na...
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani kuna mtumishi mmoja ametoka kusherehekea Mei Mosi napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa wafanyakazi...
Kulingana na ripoti hiyo, mhudumu aliyeuawa alisababisha uharibifu kwa vituo vya Wayahudi nchini Ujerumani.
Israel ilimlenga na kumuangamiza mfanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
Nipo lodge moja ya Kyauke hapa naona maajabu ya dunia.
Kuna zoezi la bomoa bomoa nahisi wanatengeneza barabara.
Kuna nyumba baada ya lodge ya Kyauke njia ya kwenda Bonyokwa imeandikwa mita 3.4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.