Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza. Yericko kaandika hivi huko Facebook; Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli...
1 Reactions
25 Replies
610 Views
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel). Maafisa wa polisi...
6 Reactions
70 Replies
1K Views
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith. Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
111 Reactions
310 Replies
10K Views
Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
6 Reactions
36 Replies
530 Views
Kiuhalisia Afrika (Tanzania) suala zima la maendeleo ndo basi tena, zitabaki hizihizi kelele za siku zote mara sijui katiba mpya, nchi achukue yule, mara uchawa, mara ndo baasi tena. Lakini jibu...
2 Reactions
19 Replies
256 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
24 Reactions
5K Replies
119K Views
Wakuu habari, Hivi hii hali ya baadhi ya siku unakuta kuanzia asubuhi hadi jioni hupati wateja kwenye biashara yako badala yake wanakuja wanaoulizia ulizia tu na kuondoka 😀 Hivi hii hali huwa...
11 Reactions
141 Replies
15K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,464
Posts
49,520,085
Members
667,130
Latest member
niite_carlos
Back
Top Bottom