Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players. Imepigwa ndani nje Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10 Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
23 Reactions
121 Replies
3K Views
MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
16 Reactions
118 Replies
2K Views
  • Poll
Jf amani iwe nanyi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s` Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
4 Reactions
184 Replies
4K Views
Hey guys wa JamiiForums, Kuna kasumba moja sasa hivi, mwanamke anakuwa na mwanaume wengi kutokana na tamaa binafsi walizonazo wanajikuta wanapata mimba za kushtukiza. Kama mimba ni ya jamaa...
1 Reactions
10 Replies
142 Views
Kusema ule ukweli kabisa toka nimpe moyo dada mmoja akauvunja basi nahisi kabisa kuwa nimepata ulemavu wa kupenda tena. Ni miaka mitatu sasa nimekosa hisia za kupenda na wala sioni dalili za...
2 Reactions
15 Replies
53 Views
Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kutundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini. Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk...
11 Reactions
40 Replies
1K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Je, gari lako la Toyota ni lipi unalolipenda zaidi?
15 Reactions
195 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,116
Posts
49,508,520
Members
666,978
Latest member
nyamwitanga
Back
Top Bottom