Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi...
Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani...
salamu wanandugu,
Kama kichwa cha uzi .
Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale...
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Ikumbukwe;
1. Israel anajinasibu kupambana na HAMAS akisema hana taabu na wapalestina huku wahanga wakiwa wapalestina; hadi West Bank ambako hakuna HAMAS.
3. Kila...
Wakuu habarini za asubuhi.
Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini.
Mathalan una mchumba na umekwishamtolea...
Nafasi ya Waziri Mkuu Tanzania imekuwa mwiba mchungu kwa miaka mingi dhidi ya Marais waliopo Madarakani.
Pamoja na kwamba Marais ushiriki kupendezekaza jina la Waziri Mkuu; wengi uwaona kama watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.