Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu Karibuni, Tunatengeneza na kudesign ceiling ya nyumba yako kwa mitindo mbali mbali utayoipenda ww. Kokote ndani ya Tanzania utafikiwa. "Kazi tunapata kutokana na kazi, so hakuna kitu...
13 Reactions
128 Replies
6K Views
Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu. Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa...
2 Reactions
16 Replies
325 Views
Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua...
3 Reactions
28 Replies
165 Views
Habari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini Kuna mdada amehamia katika Room inayofuatana na yangu sasa toka amehamia tunaishi poa sana kiasi hata nikiomba mzigo sahii...
22 Reactions
68 Replies
2K Views
WanajamiiForums naomba kuuliza Nahitaji msaada pia Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021 Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa...
5 Reactions
25 Replies
973 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Karibu Kwa huduma za ulembo plumbing bc ndo suruhishoo mtejaa
0 Reactions
1 Replies
2 Views
“Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu Sasa nchi yetu...
4 Reactions
36 Replies
721 Views
Hawa jamaa wanaamua tu wawekeze wapi ambapo Ni rahisi Kula usawa wa kamba. Ona Sasa Blue Pearl Hotel - Ubungo Chali na deni mabilioni (8.89b TZS). Watu wanaendelea ku-enjoy kama hakuna...
2 Reactions
7 Replies
208 Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
18 Reactions
132 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,112
Posts
49,508,387
Members
666,953
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom