Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Poll
Jf amani iwe nanyi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s` Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
2 Reactions
128 Replies
2K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
82 Reactions
601 Replies
14K Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
16 Reactions
119 Replies
2K Views
Nyakati kama hizi za mvua tutoe msaada kwa wenye uhitaji wa kusaidia kuvushwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza...
9 Reactions
194 Replies
5K Views
“Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu Sasa nchi yetu...
2 Reactions
3 Replies
73 Views
Mimi si mshabiki wa mno Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya. Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya...
0 Reactions
2 Replies
52 Views
Jana nilipita Bar Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Bar na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
1 Reactions
3 Replies
49 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi. Naona...
0 Reactions
18 Replies
233 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,066
Posts
49,506,256
Members
666,960
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom