Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
7 Reactions
90 Replies
2K Views
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi. Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi. Karibuni kwa maswali.
20 Reactions
78 Replies
870 Views
Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa...
0 Reactions
11 Replies
138 Views
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA" Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka,Jijini Arusha,hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya...
0 Reactions
1 Replies
5 Views
Kuna baadhi yetu tunapenda sana kujua hizi rank za jeshi,pamoja na alama zake! Lakini wakati mwingine inakua ngumu kuzitambua au kuzijua kutokana na mifumo ya jeshi letu na teknolojia ndogo...
56 Reactions
793 Replies
486K Views
Wakuu maisha ni kushare love. Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo. Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta...
15 Reactions
98 Replies
8K Views
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya...
2 Reactions
34 Replies
394 Views
Habari wana Jf wenzangu Nimeokota mahala sasa sijui ni nini wanaojua msaada tujuzane
8 Reactions
65 Replies
909 Views
Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
3 Reactions
19 Replies
342 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,302
Posts
49,514,774
Members
667,059
Latest member
latifeh6243
Back
Top Bottom