Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
7 Reactions
28 Replies
305 Views
"Ex Anakusumbua? Jifunze Jinsi ya Kumwacha Aende! Ever feel stuck, haunted by an ex who won't let go? It's tough, especially when building a new relationship. Moving on isn't easy. There might...
3 Reactions
25 Replies
419 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
15 Reactions
121 Replies
3K Views
Je Kuna ukweli wowote kuwa KE wanajichukia ? Nafasi waliyo nayo, mitazamo Yao, maumbile Yao na kadhalika? Nyongeza Niliwahi kusikia kuwa Kuna mwanafalsafa anadai mtoto anapojigundua yeye Ni...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza...
9 Reactions
220 Replies
6K Views
Wanawake wa JF, Husika na mada tajwa hapo juu. Waziri Mkuu anahitajika kwa minajili ya kuisimamia serikali ili kuleta amani, upendo, furaha na maendeleo ndani ya familia ambayo Mungu atatujalia...
5 Reactions
24 Replies
677 Views
Kwenye maisha usiwe serious sana ishi Kama mwijaku furahia maisha fanya vitu ambavyo vinaonekana vya ajabu mtu mzima kuvifanya mfano kubebana mgongoni,. Kuwa serious kwenye ishu ya posho tu maana...
4 Reactions
6 Replies
209 Views
Ifike mahala watu na makampuni na serikali muajiri watu kutokana na uwezo sio jinsia tu ya kuweka wanawake sekta fulani 50/50. Sidhan kama kuna ubaya wowote watu wa aina yoyote kufanya kazi...
2 Reactions
4 Replies
82 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,074
Posts
49,506,575
Members
666,959
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom