Mimi ni mzazi na mhathirika wa haya yanayotokea, Shule ya Sekondari Longido iliyopo Wilaya ya Longido, Mkoa wa Arusha, shule ina Wanafunzi wengi sana kupita kiwango.
Jumla ya Wanafunzi ni zaidi...
Bodi,
Hiki kizazi chetu cha kiume kwa sasa kina shida sana. Why?
1. Kizazi kivivu kinachoamini katika mserereko kuliko kufanya kazi na mazoezi
2. Kizazi hiki kinaweza kuwa ndio kizazi...
Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazo lewesha haraka kama sungura,master, jogoo nk ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi...
Swali #1.
Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?
Swali #2.
Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?
Nimeambiwa...
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.