Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi...
Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM.
Siku unadharaulika mbele ya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?"
Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
Tanzania inaendelea kuona ongezeko la shule binafsi jambo ambalo ni zuri na sina shida nalo hata kidogo. Tuliosoma enzi za ujima waliosoma shule hizi tuliwaona mafogo kinoma. Kwanza kwa sisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
Hawa wazungu wakija Afrika hatuwaombi cheti cha lugha ya nchi husika, lakini wao ukitaka kwenda kwenda kusoma kwao watataka hivyo vyeti hapo juu.
Kuna nchi kama Tanzania na zingine tunatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.