Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za humu wanajamii,ni kwa muda sasa huwa ninamfatilia huyu mchungaju wa kkkt ushirika wa kijitonyama Mchungaji Kimaro,hadi kuna muda niliwahi kushawishika kwenda kanisani kwake. Sasa katika...
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Habari Mabibi na Mabwana. Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kero, Kero hii inihusiana na usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza ( kwa Lulenge hadi Kanisani). Hapo awali usafiri wa...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
11 Reactions
24 Replies
25 Views
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA. Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko. Hivi...
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
20 Reactions
181 Replies
5K Views
Ni usiku mwingi Hakuna mvua hakuna upepo Jamani wanasiasa unatutafuta nini?
1 Reactions
7 Replies
199 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
21 Reactions
199 Replies
3K Views
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz Watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
7 Reactions
56 Replies
773 Views
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti. Bila hivyo! Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
14 Reactions
69 Replies
201 Views
Ulijiskiaje? Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary... Darasani kwenye lectures, seminars, presentation, group discussions etc hujawahi kukosa hata siku moja...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,005
Posts
49,791,002
Back
Top Bottom