Laiti mtoa sadaka angejua kwa yakini kwamba sadaka yake inapitia kwenye (mkono) wa Mwenyezi Mungu kabla ya kuingia mkononi mwa masikini, ingekuwa ladha ya mtoaji.. ni kubwa kuliko ladha ya...
Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point.
Uwepo wa mungu una dhihirika...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania haya...
Chekechea na Primary nimesoma english medium private.
Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana.
Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
SERIKALI YAUNDA KAMATI KUREJESHA KIMONDO KIRUDI IVUNA (SONGWE) BAADA YA KUHIFADHIWA UINGEREZA KWA MIAKA 86
"Je, lini Kimondo cha Ivuna kitarejeshwa nchini na kutumika kama kivutio cha Utalii?" -...
MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★...
Majuzi niliongelea swala moja la kushangazaaa
kwa nn kila wanapokamatwa wasomali ama waethiopia atuambiwi dreva na waliohusika wamekamatwa??
mjini moshi waethippia 41 wamekamatwa wakitokea kwao...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wa Muungano...!
Wanaohusika na ukarabati wa barabara ya Kimanga, hasa kipande cha kuanzia Bima hadi Mawenzi wawajibike tafadhali, au mnasubiri mpaka madereva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.