Mteja ni mfalme ila kuna wakati naye huzingua na kujikuta kajivua au kuvuliwa ufalme wake na kuonekana kenge tu. Sababu zinaweza kuwa hizi.
1. Mteja anayeona duka linafanya SALE ila bila aibu...
Je unaujua ufuta au umesikiakuhusu ufuta km unaujua Wacha nikujuze zaidi km ujui Wacha nkujuze, ufuta ni Zao linalolimwa zaidi kusini mwaTanzania mikoa ya ya Lindi na Mtwara zaidi unalimwa mkoa wa...
Hoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.
CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi...
Source: Kitini cha sheria
UTANGULIZI
Hapo nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu utu wa Watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na...
Hello morning 🌞!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa...
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.