Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa. Kuna baadhi ya...
10 Reactions
78 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali...
5 Reactions
44 Replies
660 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
8 Reactions
19 Replies
58 Views
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua. Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
14 Reactions
96 Replies
2K Views
Kumbe hakunaga namna Rais wa Nchi ataweza kujiweka kando na Uteuzi wa viongozi wakuu wa Tume Huru ya Uchaguzi Hata Kenya na Africa Kusini ambako makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anaona...
1 Reactions
4 Replies
33 Views
29 April 2024 Nairobi, Kenya Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda...
5 Reactions
19 Replies
816 Views
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa. Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
9 Reactions
33 Replies
407 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,330
Posts
49,570,774
Members
667,864
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom