Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
2 Reactions
22 Replies
23 Views
Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya...
5 Reactions
22 Replies
234 Views
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
17 Reactions
94 Replies
1K Views
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
1 Reactions
19 Replies
110 Views
Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena. Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume...
4 Reactions
21 Replies
200 Views
Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
4 Reactions
31 Replies
465 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya...
21 Reactions
127 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,477
Posts
49,576,113
Members
667,972
Latest member
Gift Estomy Petro
Back
Top Bottom