Wakuu kwema!!
Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza.
Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa
Vitu...
Tatizo kubwa linaloikabili Ukraine kwa sasa ni kukosekana kwa nguvu kazi ya kuendeleza vita. Hilo linafuatiwa na upungufu mkubwa wa silaha.
Pamoja na kuzuiwa watu wenye umri wa miaka 18-60 kutoka...
Benki ya Dunia imesitisha ufadhili uliokusudiwa kuendeleza utalii kusini mwa Tanzania baada ya tuhuma za mauaji, ubakaji na kufukuzwa kwa lazima.
============
The World Bank has suspended...
Kwa mara nyingine siasa zimeingilia hii game tutaona kama ni team zitafungiwa au ni nchi zitafungiwa jumla
Au wataogopwa vile ni waarabu maana ingekuwa nchi kama tz Motsepe na genge lake...
Habari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo final year, nilipost nyuzi mbalimbali kuomba msaada juu ya ushauri wa kibiashara bila mafanikio wengine waliahid kunipa support lkn...
Tumekaribia siku ya wafanyakazi Duniani. Kitaifa siku hii kwa Tanzania na nchi baadhi za Afrika utumika kuwalaghai watumishi wa umma kwa kuwapa Maneno matamu na ya faraja
Tupo kwenye tatizo...
Msichojua ndo hicho sasa
Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane
Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.