Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
50 Reactions
159 Replies
4K Views
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja . Mambo ya customer...
3 Reactions
39 Replies
664 Views
Kwenye maisha usiwe serious sana ishi Kama mwijaku furahia maisha fanya vitu ambavyo vinaonekana vya ajabu mtu mzima kuvifanya mfano kubebana mgongoni,. Kuwa serious kwenye ishu ya posho tu maana...
5 Reactions
11 Replies
324 Views
  • Poll
Jf amani iwe nanyi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s` Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
7 Reactions
295 Replies
7K Views
Wakuu habari za weekend Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
3 Reactions
99 Replies
585 Views
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Credit by crown media #CrownSports
4 Reactions
26 Replies
520 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Kuna biashara kubwa sana (inayohusisha mabilioni ya fedha) baina ya nchi yetu na China, India, Uturuki, Afrika Kusini n.k. Taifa letu bado ni tegemezi katika kuagiza vitu, vifaa, chakula, nguo na...
2 Reactions
6 Replies
180 Views
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii) Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo; 1. Parasitology and...
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,214
Posts
49,511,887
Members
667,002
Latest member
JustinDrude
Back
Top Bottom