Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Natoa heshima zangu kwa wote waliopo katika jukwaa hili la JamiiForums. Kwa miaka mingi nimejikuta nikipata maarifa na ujuzi wa kutosha kupitia jukwaa hili (Jforums). Nimefanikiwa kupata maarifa...
5 Reactions
31 Replies
428 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT 0-0
7 Reactions
164 Replies
4K Views
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua. Sasa nikakubaliwa...
16 Reactions
95 Replies
2K Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
6 Reactions
139 Replies
2K Views
Hapa ni baadhi 1. Mbege 2. Dengerua 3. Pingu (Pombe hii mama muuza hakupi hadi ahakikishe kwanza umevaa suruali au pajama ndefu hadi chini kwenye vifundo vya miguu. Hapa mteja lazima ufungwe...
2 Reactions
68 Replies
599 Views
Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu. Sababu ni kwamba Simba hawampi thamani pia haoni mipango yoyote...
13 Reactions
85 Replies
3K Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
19 Reactions
70 Replies
1K Views
Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel "Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama...
4 Reactions
33 Replies
581 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,095
Posts
49,507,235
Members
666,953
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom