Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
53 Reactions
565 Replies
29K Views
Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
0 Reactions
8 Replies
110 Views
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika? 2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na Muroto? Hawa ndugu wakimnyooshea kidole jiwe, dhidi ya migomo na maandamano...
3 Reactions
34 Replies
383 Views
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na...
100 Reactions
339 Replies
19K Views
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani Makonda...
3 Reactions
35 Replies
527 Views
Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika...
3 Reactions
43 Replies
784 Views
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
18 Reactions
194 Replies
4K Views
Habari za majukumu wakuu, Nilikuwa natumia watsapp mods (Fouad mods), lakini ghafla ilianza kuwa na version nyingi nikaamua kuhamia watsapp official kuanzia majuzi, nilifuta Fouad mods...
0 Reactions
12 Replies
67 Views
Uwanja ukowazi. Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa. Sifa zangu: Umri : 50 Elimu: shahada 1 &2 Kazi: Mfanya biashara Dini: Mkristo...
13 Reactions
216 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,170
Posts
49,510,373
Members
666,991
Latest member
swel
Back
Top Bottom