JWTZ imekuwa ikifanya kazi vizuri kulinda mipaka ya nchi na Amani sambamba na kufanya whistle blowing kwenye TEUZI za kikimbizi.
Pamoja na yote haya, bado kwangu wanasiasa wananguvu sana...
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961...
Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya.
Hapa...
Wanajamvi,
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku Chunya, Mbeya.
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40...
I feel like many people who grew up with strict parents tend to become more adept at lying and manipulation. These individuals can deceive you, and it's often difficult to identify or catch them...
Hawa wachezaji msimu huu na uliopita ukiwaangalia ni watu ambao wana malengo fulani na kuna kitu wanakitafua ila miili inakataa.
Hii ni dalili kwamba wana uchovu wa muda mrefu au umri umewatupa...
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.