Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 26.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko#
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko...
0 Reactions
73 Replies
227 Views
TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika. Katika mchezo Wa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
9 Reactions
141 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi kutoka kikosi maalumu cha Makomando waliofanya maonyesho siku...
3 Reactions
41 Replies
191 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
25 Reactions
225 Replies
9K Views
Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi. Dakika 21' Weather conditions cause a suspension of play. The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with...
10 Reactions
154 Replies
3K Views
Rapa Kanye West amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Michelle Obama. Kanye West has revealed his desire to have a threesome...
4 Reactions
26 Replies
754 Views
Eeh Mungu ikikupendeza, Mamelodi awe wamwisho, awe namba nne. Afungwe mechi zote. Amen
1 Reactions
21 Replies
418 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,913
Posts
49,499,892
Members
666,883
Latest member
abdallah kheri
Back
Top Bottom