Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
67 Reactions
381 Replies
9K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Mambo wanajamii; nahitaji Macbook air 2020 13 inch covers zenye rangi rangi au picha km hii sio zile plain za rangi moja km Red cjui Blue au white nataka picha picha km izi pamoja na keyboard...
2 Reactions
5 Replies
47 Views
E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana Tulikua abiria watatu na dereva,pikipiki ikapita kwa speed...
4 Reactions
10 Replies
140 Views
Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii? Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
3 Reactions
80 Replies
829 Views
Guys ninaomba ushauri, Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi. Wakati huo yeye alikuwa na kazi...
3 Reactions
25 Replies
211 Views
Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea. Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu. Makonda...
4 Reactions
19 Replies
689 Views
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
4 Reactions
128 Replies
6K Views
Wakuu natizama maadhimisho ya muungano,idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe,je ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa...
0 Reactions
3 Replies
69 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,732
Posts
49,492,811
Members
666,806
Latest member
betty12
Back
Top Bottom