Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Habari great thinkers Nina boxer bm 150 niliyoitumia kwa takribani miaka 7 (84,000km mileage) sasa kuna mtu katokea anaitaka kwa 1,700,000/= Sasa nilikuwa nafikiria nikiuza ninunue Shineray...
2 Reactions
30 Replies
507 Views
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesaini Mpango wa Jeshi la IDF kuuvamia mji wa Rafah Ni Hatari sana Al Jazeera news
9 Reactions
75 Replies
2K Views
Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable. Huwa nasikitika sana...
9 Reactions
147 Replies
11K Views
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya...
27 Reactions
81 Replies
2K Views
"Wanadamu hatuwezi kuishi kwa amani wakati wote kwa sababu kila mmoja anapambana kuwa bora zaidi ya mwingine". Nukuu kutoka kwa mwandishi mkongwe wa vitabu vya ziada katika masomo ya elimu ya...
2 Reactions
2 Replies
101 Views
Jaman Nina Safari ya kwenda Singida kesho Tuko watu 3 na mizigo yetu Tunaitaji gari la kutupeleka Tu Mtu ambae Yuko interesting please nipm Niko dar es salaam jaman sorry, swaumu Kali leo
1 Reactions
15 Replies
133 Views
Je unadhani hii itakuwa ni mwarobaini wa kero za usafiri wa Mwendokasi? My Take Naunga mkono hoja ila Mwekezaji awe mwenye uwezo isije kuwa kama zile treni za Wahindi za TRC ===== Waziri wa Nchi...
3 Reactions
19 Replies
358 Views
Naomba majibu yawe mafupi mafupi sana Ni wanaweza au hawawezi kwa mujibu wa Katiba basi, usilete Siasa za roporopo Ramadan Kareem 😂
0 Reactions
16 Replies
203 Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
15 Reactions
194 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,726
Posts
49,112,394
Members
662,989
Latest member
mr_fact_96
Back
Top Bottom