Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
19 Reactions
172 Replies
3K Views
Ni Simba SC imetafutiwa faraja na sasa itakuwa bingwa wa Muungano kwa mashindano ya Mechi mbili tu Ni Tanzania pekee 😂😂😂🔥
6 Reactions
27 Replies
757 Views
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo. Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika...
0 Reactions
34 Replies
869 Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo...
2 Reactions
11 Replies
268 Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche Ukweli lazima uwekwe wazi
0 Reactions
13 Replies
124 Views
Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa...
2 Reactions
18 Replies
277 Views
Wiki ya Maandamano bado inaendelea , ambapo leo imefika Mkoani Mara . Hapa Mkoani Mara anayeongoza Maandamano haya ni yule yule Mwamba Kabisa Freeman Mbowe Usiondoke JF kwa vile inatarajiwa...
0 Reactions
6 Replies
136 Views
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha...
0 Reactions
13 Replies
127 Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Leo niko Mbeya, hiki kibaridi cha Mbeya, kwa sisi tulio zoea mablangeti yale, hata ujifunike vipi, na...
16 Reactions
52 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,742
Posts
49,493,341
Members
666,811
Latest member
britanny
Back
Top Bottom