Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe...
kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii?
ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Mfumo wa vyama vingi umeongeza Demokrasia na kupunguza Uzalendo
Kwa mfano Leo Chadema badala ya kusherehekea Miaka 60 ya Muungano wao Wanaandamana mikoani kupinga Kikokotoo
Uzalendo unatoweka...
Moja kwa moja.
Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani?
Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa...
Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza:
1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia?
2) Au ndani ya Jeshi la...
Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.