Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha).
Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
Kufuatia video inayosambaa mtandaoni ikionesha Mtu akipatiwa adhabu ya kugalagala chini pamoja na kuruka kichura baada ya kukaidi kulipa ushuru wa halmashauri kwa watumishi wanaohusika na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
Mapema wiki hii, vyombo vya habari vya Indonesia viliripoti kisa cha ajabu cha mwanamume mwenye umri wa miaka 26 ambaye aliishia kupiga simu polisi baada ya kugundua kuwa mwanamke ambaye alikuwa...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
Ama kwa Hakika huyu Waziri Mkuu wa Slovakia anahitaji kupongezwa.
Kwa niaba ya wapenda amani duniani tunakupongeza mno Mr. Robert Fico kwa kukataa maombi ya kifedhuli ya Zelensky na viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.