Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ewe kijana kama upo tu nyumbani huna ramani unashinda umelala siku nzima unaona kazi siku hizi hamna, basi haraka sana tafuta mwanamke uoe. Nakuhakikishia utapata kazi haraka sana na utaacha...
12 Reactions
61 Replies
802 Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche Ukweli lazima uwekwe wazi
1 Reactions
39 Replies
673 Views
Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja Dr. Jose Chameleon aliivuruga...
2 Reactions
7 Replies
35 Views
Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo...
1 Reactions
9 Replies
210 Views
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake. Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika. Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
16 Reactions
34 Replies
1K Views
Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini. Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini...
5 Reactions
23 Replies
431 Views
Hapa ni baadhi 1. Mbege 2. Dengerua 3. Pingu (Pombe hii mama muuza hakupi hadi ahakikishe kwanza umevaa suruali au pajama ndefu hadi chini kwenye vifundo vya miguu. Hapa mteja lazima ufungwe...
2 Reactions
38 Replies
311 Views
Hello jukwaa la celebs Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini...
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
15 Reactions
96 Replies
2K Views
Burj Khalifa, mnara mrefu zaidi duniani, unajulikana kwa urefu wake wa mita 828 na idadi ya sakafu 163. Kwa kuwa ni mnara wa maendeleo mchanganyiko, unajumuisha makazi, hoteli, biashara, ofisi...
4 Reactions
7 Replies
224 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,891
Posts
49,499,050
Members
666,875
Latest member
Nyabhahimba mbatelo
Back
Top Bottom