1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji...
Wanasimba wamekuwa wakidanganyika na viongozi wao wakiwahadaa ati wao ni mabingwa wa community shield, ambao sio kweli
Wataambia kesho eti wamekuwa mabingwa wa Muungano ambao sio kweli
Wanasimba...
Wakazi wa Mbeya Mjini tunapata shida kubwa kipindi hiki cha mvua, barabara za mitaa zimeharibika sana, miundombinu imekua ni changamoto kubwa, barabara hazipitiki.
Maji yanapita barabarani, yaani...
Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you...
Mzuka wanajamvi!
Haiwezekani mzee profesa na aliyehodhi mamlaka na madaraka za juu nchini na kulitumikia taifa letu kwa weledi adhalilishwe na kijana mbele ya camera na kusukumwasukumwa.
Natoa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.