Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
3 Reactions
33 Replies
507 Views
Match Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
13 Reactions
60 Replies
1K Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
209K Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee
2 Reactions
5 Replies
160 Views
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa. Kuna baadhi ya...
16 Reactions
107 Replies
3K Views
Mawasiliano kati ya Dar na kusini mwa nchi yamekatika baada ya daraja lililopo Somanga kusombwa na maji. Ukiachana na daraja hilo, zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, kati ya Lindi na Dar es...
0 Reactions
5 Replies
131 Views
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
10 Reactions
97 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,403
Posts
49,572,614
Members
667,929
Latest member
Kin_Viva
Back
Top Bottom