Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Happy birthday Muungano, how old are you now? 60 years!!! Leo tare 26/04/2024 Muungano wetu Kati ya Tanganyika na Zanzibar= TANZANIA Umetimiza miaka 60....huu ni umri wa mzee mtu mzima...
0 Reactions
20 Replies
152 Views
Wanabodi, Ili kuyachambua kwa kina yaliyojiri Zanzibar objectively, naombeni sana tutumie "nguvu za hoja" na sio " hoja za nguvu". Nilitamani topic hii ningeianzisha kule jukwaa la "great...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo. Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika...
0 Reactions
32 Replies
824 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
70 Reactions
418 Replies
9K Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
74 Reactions
4K Replies
251K Views
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith. Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
65 Reactions
190 Replies
5K Views
A
Anonymous
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali. Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi...
16 Reactions
70 Replies
2K Views
Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio...
6 Reactions
51 Replies
556 Views
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia...
9 Reactions
41 Replies
883 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,741
Posts
49,493,265
Members
666,810
Latest member
britanny
Back
Top Bottom