Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa
Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15.
---
Africa's Most Beautiful Women
1. Ethiopia
2. Nigeria
3. Tanzania
4. Kenya
5. South Africa
6. Ghana
7. Zimbabwe
8. Egypt
9. Congo
10...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players.
Imepigwa ndani nje
Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10
Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
Na. David Kafulila
NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
Habari wakuu...
Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...
Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...
Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.