wakuu wasaalamu.
Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine...
Mfumo wa vyama vingi umeongeza Demokrasia na kupunguza Uzalendo
Kwa mfano Leo Chadema badala ya kusherehekea Miaka 60 ya Muungano wao Wanaandamana mikoani kupinga Kikokotoo
Uzalendo unatoweka...
Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama...
Waziri amesema wazazi wajiongeze, then baadae ikatoka barua ya kufunga shule kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea.
Natamani kuona bajeti ya mwaka huu ya wizara ya mawasiliano itakuwa...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Waaukumbi.
American colleges and universities involved in the Palestinian protests:
- Yale University
University of Texas
Columbia University
Massachusetts Institute of Technology
University...
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo.
Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Duniani kote hakunaga maskini wanaoteteana kwa sababu Sauti yao iko chini sana haipai kufika Juu
Hivyo ni mabilionea hawa hawa ambao wachache wao Mungu wa Mbinguni amewabarikia UTU ndio hujilipua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.