Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muuza madafu katika Moja na mbili😊
15 Reactions
53 Replies
631 Views
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
26 Reactions
135 Replies
3K Views
Mtoto akumwa hospitali zikishindwa kutibu juamini arogwa na hata baadi ya madaktari husema "mjiongeze" biashara mambo ya ulinzi wa kuzindika, kuvutia wateja, n.k. waganga wanatafutwa sana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam, Shalom. Samahani Kwa waliozaliwa 2000+, Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri...
11 Reactions
63 Replies
565 Views
Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
10 Reactions
39 Replies
1K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
79 Reactions
540 Replies
12K Views
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna...
59 Reactions
227 Replies
11K Views
Kuna siku nilikuwa napita maeneo fulani ambapo kuna magofu ya iliyokuwa inaitwa tanganyika packers. Magofu haya yamebaki tu kama historia ya uwepo wake. Baada ya kupita mahali hapo nikatamani...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
6 Reactions
101 Replies
3K Views
Wasalaam! Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration. Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu...
2 Reactions
23 Replies
215 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,871
Posts
49,497,933
Members
666,860
Latest member
Mr Ntinginya
Back
Top Bottom