Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
959 Replies
24K Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
27 Reactions
105 Replies
2K Views
Kuna sehemu nimesoma, mwanasheria mmoja kutoka kwa Majirani zetu, Kenya, Anasema kwamba, kwa mujibu wa sheria, kama ulimuoa single mother, ukaanza kuishi naye na ukaanza kum-support yeye na...
2 Reactions
6 Replies
60 Views
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu. 1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara...
4 Reactions
18 Replies
123 Views
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
8 Reactions
139 Replies
4K Views
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha...
8 Reactions
53 Replies
741 Views
Wenzetu wana tamaduni zao za kuwaheshimu wanyama haijalishi ni mnyama wa aina gani japo kuwa nchi ya kiislamu ila inawapenda wanyama kama mbwa na wanazingatiwa kabisa. Suala la paka na njiwa kule...
2 Reactions
6 Replies
118 Views
Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
6 Reactions
36 Replies
474 Views
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stoli kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Uyo Mama kahangaika sana hadi akaripa deni lote...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,624
Posts
49,579,956
Members
668,073
Latest member
Bruno Nemes
Back
Top Bottom