Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Ukitaka vichekesho bila gharama soma Taarifa za Polisi. Katika tukio la hivi karibuni la kupote na Kuuawa kijana Robert Mushi na kishà maiti yake kukutwa Mortuary ya hospitali ya rufaa ya Polisi...
Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam?
Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini...
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii.
Kwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Tundu Lissu anasimamia Maandamano ya kupinga Ugumu wa maisha , kikokotoo pamoja na sheria mbovu za Uchaguzi . Maandamano hayo yanafanyika Mkoani Manyara ...
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.