Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Ewe kijana kama upo tu nyumbani huna ramani unashinda umelala siku nzima unaona kazi siku hizi hamna, basi haraka sana tafuta mwanamke uoe. Nakuhakikishia utapata kazi haraka sana na utaacha...
2 Reactions
16 Replies
152 Views
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip...
25 Reactions
198 Replies
11K Views
Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May. Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
7 Reactions
24 Replies
200 Views
Wasalaam! Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration. Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu...
2 Reactions
14 Replies
183 Views
Wadau hamjamboni nyote Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu Polisi wanaendesha...
0 Reactions
1 Replies
6 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,852
Posts
49,497,286
Members
666,860
Latest member
Mr Ntinginya
Back
Top Bottom