Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
Kwanza kabisa Rais mwenyewe kwa matendo na maneno ameonyesha kuwa hataki habari za uchawa. Lakini machawa hawaishi kumsifu kwa hata vitu vya kuchekesha kabisa. Leo hii jambo la kumsifia Rais...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa...
1. Kuwa na uhusiano wa kingono na mwingine (sexual cheating). Huu wengi mnaujua. Na ndio kiwango cha juu kabisa katika udanganyifu. Lakini zipo aina nyingine.
2. Kuficha mapato na matumizi...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
Kwa mimi binafsi naona
1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik
2. Leonardo wa Cheka Tu
Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.