Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo...
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa
Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi.
Weather conditions cause a suspension of play.
The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with the...
Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao.
Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na...
LIPA KWA M-PESA Ni laini ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya wafanyabiashara wooote iwe online business, Sheri, Hotel,Guest House, makampuni mbali mbali n.k. Hiyo yote ni kwa ajili ya kuuzia bidhaa...
Na. David Kafulila
NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
Kuna vitu vingine sometimes ni vya Kitoto na huwa tunapotezeana tu muda Kuvijadili hapa Jukwaani. Hivi kabisa kuna Mtanzania ambaye aliamini kuwa wale Wauza Madafu ni Wauza Madafu kweli na siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.