Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
Habari wakuu
Kama kuna mtu humu ndani alikuwa shortlisted kwenye position ya Intern Gender and Respectful Care at Jhpiego na kufanya interview jana naomba tufahamiane
Majuzi kati kada mtiifu sana wa ccm na chawa mkubwa wa bashite, mara baada ya bashite kuhojiwa na kamati ya maadili ya chama chetu alileta bandiko huku akisema.
Mwamba Bashite ataongea na...
Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa.
Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.
Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.
Jamaa ana...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa...
Mambo wanajamii; nahitaji Macbook air 2020 13 inch covers zenye rangi rangi au picha kama hii sio zile plain za rangi moja kama Red cjui Blue au white nataka picha picha kama hizi pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.