Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajukwaa! Je, umewahi kukutana na MAJINI au JINI? Je ulifanyaje? Je mlikua marafiki, au walikutisha na kukuogopesha, je mliishi pamoja? Je umeshawahi kuzungumza nao? Basi kama ndio karibu...
6 Reactions
41 Replies
526 Views
Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake...
1 Reactions
12 Replies
378 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
12 Reactions
214 Replies
2K Views
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati...
3 Reactions
51 Replies
559 Views
Salaam, shalom!! Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto. JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa...
3 Reactions
31 Replies
547 Views
Mungu ibariki Afrika na watu wake..Mungu wabariki Viongozi wetu Vita na mauaji vinaendelea Kivu ya Kaskazini,Maelfu ya raia wanauwa kila leo. Biashara na shughuli kuu zote zimedorora. Janga la...
2 Reactions
7 Replies
282 Views
Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah...
10 Reactions
53 Replies
1K Views
Nipe suggestion ya bongo piano nzuri za kuimba mfano wa single again, sumu ya kiba, naringa ya zuchu za hivyo nazipenda saaaana. Staki za makelele
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari za masiku wanajamvi. Ninakupatia bonge la ofa. Hakika hautajutia.
4 Reactions
111 Replies
6K Views
Position: Investigation Officers II (250 Posts) Required Qualifications: Academic Qualifications: Applicants should possess three years Advanced Diploma or Undergraduate degree from...
5 Reactions
62 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,090
Posts
49,589,668
Back
Top Bottom