Sifa za waombaji,
1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30.
2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy)
3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele.
4. Awe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhi Hassan akiongoza Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, leo Aprili 26, 2024 ambapo Marais na viongozi kutoka nchi mbalimbali za Afrika...
Ukitaka vichekesho bila gharama soma Taarifa za Polisi. Katika tukio la hivi karibuni la kupote na Kuuawa kijana Robert Mushi na kishà maiti yake kukutwa Mortuary ya hospitali ya rufaa ya Polisi...
Salaam, Shalom.
Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk.
Matumizi ya majiko ya...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii?
Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko.
Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke.
1: Chakula.
2:Mavazi.
3: Ngono.
Kabla hujajiandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.