Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250
Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo
Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu...
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
Salaam, Shalom.
Samahani Kwa waliozaliwa 2000+, Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri...
Mzuka wanajamvi!
Haiwezekani mzee profesa na aliyehodhi mamlaka na madaraka za juu nchini na kulitumikia taifa letu kwa weledi adhalilishwe na kijana mbele ya camera na kusukumwasukumwa.
Natoa...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Habari,
Africa tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa, wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu, mara mizimu inaleta nuksi, mara watu wamefungwa na...
Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga
wahalifu hasa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.