Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
1 Reactions
28 Replies
470 Views
Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu. NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI...
2 Reactions
54 Replies
460 Views
Mnamo mwaka wa 2003, wanaume wawili Ben C. Padilla na John M. Muntu, waliiba Boeing 727-223 iliyokuwa imeegeshwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda (nchini Angola) na kuruka...
1 Reactions
5 Replies
61 Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
23 Reactions
185 Replies
5K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
10 Reactions
46 Replies
629 Views
INAPANGISHWA CHIDACHI-DODOMA ________ MAHALI-CHIDACHI DODOMA (INATAZAMA BARABARA YA LAMI) ________ MUUNDO (ZIKO 02 KWENYE FENSI,KILA MOJA NA GETI LAKE) -VYUMBA 02 VIKUBWA(01 masta) -SEBULE...
2 Reactions
2 Replies
87 Views
Kwa wale wote waliofuatilia mchezo wa Yanga na Kagera Sukari lile goli la Guede lililokataliwa na refa lilikuwa goli halali na hapakuwa na kuotea. Nawashauri marefa tendeni haki ili kila timu...
1 Reactions
4 Replies
192 Views
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
37 Reactions
256 Replies
7K Views
Jamani Asanteni, Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika. Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa. Yule Mama anasema Maboss wa...
10 Reactions
19 Replies
251 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,551
Posts
49,576,265
Back
Top Bottom