Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua...
6 Reactions
49 Replies
292 Views
Wanafunzi wasiopungua wanne wa kigeni wamejeruhiwa baada ya kundi la Wahindu wenye chuki za kidini kuvamia dakhalia ya chuo kikuu katika jimbo la Gujarat magharibi mwa India na kushambulia kundi...
0 Reactions
4 Replies
48 Views
Kongole kwa wachawi wote duniani kwa kuroga kwa kutumia tunguli kuingia nyumba za watu pasipo kuonekana ni hatua kubwa mmepiga. Mwaka 1943 marekani walidhamilia kugundua teknolojia ya kupotea ili...
0 Reactions
14 Replies
344 Views
Hope mko poa kabisa wakubwa. Nina kisa changu kinachohusu mapenzi, na kuyasotea. Kati ya waliowahi kusotea pis basi namm nipo,, ila nilitoka kapa tena kapa ya gamba. Kipindi tupo sec kuna demu...
3 Reactions
44 Replies
833 Views
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la mwl nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
1 Reactions
6 Replies
110 Views
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka...
17 Reactions
81 Replies
2K Views
A
Shule ya sekondari BUJINGA iko Tukuyu mkoa wa Mbeya wazazi tumeambiwa tuanze kuchangia sh. 60000/= kwaajili ya kambi kidato cha nne.. Hii ililetwa kama agenda ktk kikao kilichoitishwa na walimu...
2 Reactions
31 Replies
459 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
118 Reactions
502K Replies
27M Views
Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani. Pia Waziri kasema Tanzania tuna...
18 Reactions
69 Replies
2K Views
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya...
5 Reactions
21 Replies
601 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,653
Posts
49,109,757
Members
662,951
Latest member
benn31
Back
Top Bottom