Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu... Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original... Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k... Kuna aliyewahi tumia? Ubora upoje?
3 Reactions
144 Replies
4K Views
Mzuka wanajamvi! Yuko london Ungereza endeleeni sasa kuroga na kumuombea mabaya. Anachowaombea tu ni wawili muishi maisha marefu na msiwe vipofu. Kufa hamfi lakini cha moto mnaona.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huyu Jamaa Kwa sasa nadhani ndo anatrend nafasi ya kwanza kwenye upande wa macomedy lakini ni wazi hata kwenye maisha ya kawaida ili upende usiboe watu inafaa uwe na nidhamu ya hali ya juu...
1 Reactions
3 Replies
65 Views
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
10 Reactions
65 Replies
839 Views
Kwa mujibu wa nyaraka za Sumeria , zinazungumzia namna Binadamu alivyotokea , Binadamu alitengenezwa maabara (Genetic engineering) na kazi yake ilikuwa ni kufanya kazi kwenye migodi ya dhahabu...
12 Reactions
57 Replies
3K Views
Hapa hatujapigwa kweli wakuu?
2 Reactions
8 Replies
182 Views
FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya...
5 Reactions
9 Replies
167 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Wakuu nataka kuanza kupika mwenyewe sasa nikiangalia sina kitu hata kimoja jikoni. Nataka niwe na jiko la kawaida tu. Naombeni wenye majiko mnipe essentials zote na gharama zake roughly..
3 Reactions
14 Replies
144 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,617
Posts
49,579,703
Members
668,073
Latest member
Bruno Nemes
Back
Top Bottom