Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
60 Reactions
294 Replies
8K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa...
12 Reactions
26 Replies
632 Views
A
Anonymous
Ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Mtwara imekuwa kikwazo sana kwa wateja, hakuna huduma nzuri na mambo meni hayaendi kwa wakati, wanachelewesha mambo hata katika mambo ambayo...
0 Reactions
2 Replies
8 Views
Good evening, Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi. So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike...
12 Reactions
96 Replies
2K Views
Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania? Tujuzane!
0 Reactions
9 Replies
186 Views
Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio...
1 Reactions
6 Replies
173 Views
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
7 Reactions
107 Replies
724 Views
Jama alikuwa anadanganya sana abiria katika gari. akipaza sauti ya kuonyesha Isreal ina nguvu na kuwadanganya abiria ambao uelewa wao mdogo katika swala hili. Nilipombana kwa hoja agaeuza maneno...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,659
Posts
49,491,135
Members
666,780
Latest member
Borauzimaa
Back
Top Bottom